Pakistan: 'Nilimhadaa muuaji wa mume wangu anioe ili kulipiza kisasi'

 Picha ya mfano

Niliamua kulipiza kisasi cha kifo cha mume wangu kwa kuanzisha urafiki na mtu aliyemuua, nikafunga nae ndoa na hatimaye nikalipikiza kisasi."

Mwanamke mmoja, mkazi wa Wilaya ya Bajaur, nchini Pakistan, alikamatwa na Polisi na kupelekwa mahakamani, kabla ya kupelekwa jela ya Chakdara

Mwanamke huyo anasema alijaribu kwa miaka mitatu kulipiza kisasi kutokana na kifo cha mume wake, na alifanya mipango madhubuti kutekeleza hilo.

  • 'Mume wangu alikuwa malaika-kisha akanibaka'
  • Ubakaji wa ndoa: 'Mume wangu alikuwa malaika-kisha akanibaka'

  • NDOA
  • Wanawake nchini Misri wameanza kuvunja kimya kuhusu unyanyasaji wa kijinsia. Sasa moja ya mapambano ya hivi karibuni ni dhidi ya ubakaji wa ndoa, suala ambalo hadi hivi karibuni limekuwa mwiko.

    Onyo: Nakala hii ina maelezo ya unyanyasaji wa kingono

    Usiku wa harusi yake, Safaa mwenye umri wa miaka 34 alibakwa na mumewe. Tukio hilo lilimwacha na majeraha kwenye kinena chake, mkononi na kwenye mdomo.

    "Nilikuwa kwenye hedhi na sikuwa tayari kufanya mapenzi usiku huo," anasema. "Mume wangu alidhani nilikuwa nikikwepa kushiriki mapenzi naye. Alinipiga, akanifunga pingu, akaziba mdomo wangu na kunibaka.

  • Walimbaka, wakaua watu wa familia yake, akawasamehe sasa wanataka kumuua
  • Walimbaka, wakaua watu wa familia yake, akawasamehe sasa wanataka kumuua

  • Fanny Escobar

Mwenyewe nilikuwa nimejawa na machungu moyoni. Na leo hii saratani ndio adui wangu mkubwa. "

"Mimi ni mama wa watoto wanne lakini kwasasa nimebaki na watatu. Pia nimeasili watoto wengine wengi. Mimi ni bibi niliyejaaliwa wajukuu 9 na sasa nimepata vitukuu wawili.

Kwa miaka michache iliyopita, Fanny Escobar, kiongozi wa masuala ya jamii kaskazini magharibi mwa Colombia, hakuwa akilia.

"Sikiliza sauti yangu," amesema. "Wakati anaulizwa anamaanisha nini, sauti yake inapotea. Mimi Silii. Silii tena."

Badala ya kulia anapokuwa amekasirika, mikono yake huanza kutetemeka na kuingia baridi.ha

Comments