Samia Suluhu Hassan: Maadhimisho ya siku 100 za kwanza za rais wa sita wa Tanzania



Rais Samia Suluhu Hassan ameweka historia kwa kuwa mwanamke wa kwanza kuwa rais wa Tanzania.hatua hiyo inafuatia kifo cha ghafla cha mtangulizi wake John Pombe Magufuli, mwezi Machi mwaka huu. Tarehe 26 mwezi Juni atakuwa ameadhimisha siku 100 ofisini. Hivyobasi tunauliza amepata ufanisi gani katika siku 100 za kwanza tangu achukue madaraka?

Akiwa Rais wa Tanzania , rais Samia Suluhu Hassan anakuwa rais wa tatu wa kike barani Afrika, Hii ni baada ya marais wa zamani Ellen Johnson Sirleaf wa Liberia na Joyce Banda wa Malawi.

Kwa sasa Rais wa Ethiopia ni Bi. Sahle -Work Zewde ijapokuwa hana mamlaka

Rais huyo mwenye umri wa miaka 61 kwa mara ya kwanza alichaguliwa kama mwanachama wa bunge la Zanzibar la mwaka 2001. A

 

Comments