- Get link
- X
- Other Apps
7/08/2014 habari za kitaifa
Mara kadhaa mama Wema Sepetu alikaririwa akisema hamkubali Diamond kuwa katika uhusiano na mwanae. Na kwa upande mwingine habari zilidai mama Diamond hamkubali Wema bali anamkubali VJ Penny.
Sasa basi jana ilikuwa ni birthday ya mama Diamond ambapo Wema ameweka picha katika mtandao mmoja wa kijamii akiwa amekumbatiana na mama Diamond kuonyesha kuwa hakuna ugomvi tena kati yao.....
Picha hizo ziliambatana na ujumbe huu:
"today is this amazing woman's birthday...naanzaje kutokumpenda na kumtakia kila lenye kheri mama'ngu kipenzi ...Mungu akutangulie mummy....akuweke na azidi kukufungulia milango ya baraka mzaa chema wangu.....love
Comments
Post a Comment