Unazikubali show za Davido? Cheki picha zake alivyofanya show ndani ya Rwanda.
on
Get link
Facebook
X
Pinterest
Email
Other Apps
Baada
ya tuzo za BET Davido alielekea Rwanda ambapo alienda kufanya show
kwenye jukwaa moja na wasanii wa nchini Rwanda. Show ilifanyika kwenye
uwanja wa mpira na kuingiza watu zaidi ya 60,000. Hizi ni picha za
Davido akiwa jukwaani.
Comments
Post a Comment