Sababu ya watengenezaji wa Filamu mpya ya Transformers kushtakiwa

trans
Kampuni moja ya kitaliii kutoka nchini China imesema kuwa itawashtaki watengenezaji
 wa filamu mpya ya Transformers kwa kuvunja mkataba.

Kampuni ya Chongqing Wulong Karst Tourism Co Ltd imesema katika
 taarifa yake kuwa
 watengenezaji wa filamu hiyo wameshindwa kuonyesha lebo yao
 vizuri katika filamu hiyo

kama walivyoahidi.
Wanasema itafungua kesi dhidi ya kampuni ya Paramount Pictures na moj
a ya washirika wake kampuni kutoka China.
Paramount bado haijasema chochote mpaka sasa kuhusiana na madai hayo

Comments