2Face Idibya kutoka Nigeria, amedondosha video mpya ya wimbo wa "Let
Somebody Love You" aliomshirikisha msanii Bridget Kelly aliechini ya
Rock
Nation
Wimbo hii iliyo rikodiwa sehem mbalimbali za Lagos, Nigeria, ni single
ya kwanza kutoka kwenye album yake ya sita "The Ascension" . Director wa
ideo hiyo ni Luke Biggins

Comments
Post a Comment