Kumbe nao wana Hekaheka yao,sikiliza Hekaheka ya Nuh Mziwanda na Shilole.
on
Get link
Facebook
X
Pinterest
Email
Other Apps
Wapenzi
wanaotoka kiwanda cha muziki Tanzania Nuh Mziwanda na Shilole leo
walikua kwenye kipindi cha Leo tena ambapo walikua kama wageni kwenye
kipengele cha Hekaheka,sasa yameibuka mengi ambayo mengine hatuyafahamu
kuhusu uhusiano wao.
Comments
Post a Comment