Brand New Single: Wahalade - Barnaba

Barnaba kwa sasa ametoka  na single mpya kwa sasa, na ambayo iko kitofauti kidogo 
Wimbo wake mpya unaitwa wahalade, ambao una mahadhi ya kipwani a.k.a Mduara...msikilize hapa chini 
 

Comments