Brand New Single: Msikilize Mike I SWEAR hautajuta: Ahadi - Mike hivi ndio vipaji vipya Tanzania sikiliza hapa

Nina uhakika utakuwa umewasikia wasanii wachanga na wanaochipukia kwa sasa katika game ya muziki Tanzania, wakiwemo Baraka Da Prince pamoja na Moe Muzik.
 sasa fanya kumsikiliza Mike ambae mara ya kwanza alitoa ngoma na Joe Makini paoja na Damian Soul, saa hii amekuja na single moja hatari "Ahadi" akiwa peke yake kuonyesha zaidi uwezo wake katika mziki. hebu chukua dakika zako kadhaa kumsikiliza na tupitia comment yako.

Comments