Baadhi ya wasanii wa Bongo Movies wakiwa katika Hospitali ya Taifa
Muhimbili baada ya taarifa za msiba wa msanii mwenzao, Rachel Haule
'Recho' mapema leo.
Mume wa marehemu Recho, George Saguda,akiwa na simanzi nzito kufuatia kifo cha mkewe. Picha kwa hisani ya MOHAMED WAZIRI
Comments
Post a Comment