NISHA AFATA NYAYO ZA WEMA NI BAADA YA KUACHANA NA KIJANA MDOGO SASA AAMUA KUMUANIKA LIVE BABY WAKE MPYAAAA.......
Mwanadada anaekuja kwa kasi bongo movie salma jabu nisha baada yakua na mahusiano ya siri kwa muda mrefu na kijana mdogo sasa aamua kumuweka waz baby wake mpya kupitia ukurasa wake wa instagram akitiririka katika page yake asema waliopita kwake wote marehem na sasa yupo na anaempenda kwa dhat.
Comments
Post a Comment