Dr Jose Chameleone ametoa wimbo mpya unaitwa Walewale,usikilize hapa
on
Get link
Facebook
X
Pinterest
Email
Other Apps
Mkali huyu kutoka Uganda ambaye nyimbo zake Badilisha na Valuvalu bado
zinapendwa, ametoa wimbo mpya unaitwa Walewale. Kama kawaida yake
ameimba kwa lugha ya kiswahili akichangaya na lugha ya kiganda. Unaweza
kuusikiliza na kudownload hapa.
]
Comments
Post a Comment