Diamond Platnum amedondosha video kwa mara moja zote zikiwa
zimetengenezwa na ku recordiwa nje ya Tanzania.Leo hii tarehe 7/7 ni
siku ambayo alizaliwa mama yake mzazi Diamond na ili kusherehekea siku
hii ya kumbukumbuku nzuri kwake na familia yake, Diamond ameamua kuachia
video hizo.
Video ya mdogo mdogo imetegenezwa South Africa, na imemgharimu dola
40,000 ambayo ni sawa na sh milioni 67,200,000. video imefanyika South
Africa Director ni Godfather.
na video ya wimbo wake na Iyanya "Mdogo mdogo" iliyotengenezwa na
kurekodiwa London imemgharimu pia dola 40,000 nakutengeneza jumla ya
shilingi milioni 134,400,000....Tazama video zote hapa chini



Comments
Post a Comment