imepita miaka sasa tangu kundi la G Unit kusambaratika na siku ya jana kwenye Summer Jam walionekana pamoja kwenye stage.
50
Cent, Lloyd Banks, Tony Yayo, na Young Buck walikaribishwa kwa shangwe
la hatari la maelfu ya mashabiki waiojitokeza kwenye tamasha hilo ndani
ya MetLife stadium.
G-Unit
walirudisha upendo wao kwa ku-perform ngoma zao kali kama “On Fire,”
“So Seductive,” “Shorty Wanna Ride,” na “I Smell P***y.” ambapo 50 pia
alitangaza ujio wa album yake Animal Ambition ambayo itaingia sokoni wiki hii.

Comments
Post a Comment