
Timu
ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa stars’ imesonga mbele kwenye hatua nyingine
ya kuwania tiketi ya kushiriki michuano ya AFCON 2015 kufuatia sare ya
2-2 dhidi ya wenyeji Zimbabwe katika mji wa Harare, na kuifanya stars
kupata ushindi wa jumla ya mabado 3-2.
Magoli ya Tanzania yalifungwa na Nadir Haroub na Thomas Ulimwengu.
Comments
Post a Comment