EXCLUSIVE:BAADA YA KUKUMBWA NA KASHFA NYINGI ,MSANII JUSTIN BIEBER AAMUA KUMRUDIA MUNGU NA KUBATIZWA KWA MARA NYINGINE... FAHAMU ZAID HAPA
Katika harakati za kujirudisha kwa jamii yake na kuomba msaada wa Mungu tangu akumbwe na kashfa ya kutoa maneno ya kibaguzi, Nyota wa muziki mwenye makazi yake nchini Marekani Justin Bieber amechukua uamuzi wa kubatizwa kya kwa madai ya kutaka kusafisha dhambi zake.
Nyota huyo alilazimika kuomba msamaha baada ya video inayomuonyesha akitania kwa maneno ya kibaguzi kuvuja mtandaoni.
Hivi sasa Bieber amekuwa akitumia muda mwingi jijini New York na
mchungaji ambaye amekiri kuwa wamekuwa wakitumia muda mrefu na
mwanamuziki huyo kujifunza masomo ya biblia.
Justin alitaka kubatizwa kama sehemu ya kujiunga na ukristo lakini
alikuwa akihangaika kutafuta kanisa litakalomtunzia siri yake hiyo
kwasababu amekuwa akifuatiliwa sana kwa karibu na vyombo vya habari.
Ungependa stori kama hizi zisikupite na zikufikie wakati wowote?Tupo
tayari kukutumia wakati wowote iwapo utajiunga na sisi kwa kubonyeza ===>>>www.facebook.com/pages/Kidera na kupata pichaz, video, stori na mengine yote ya hii dunia.
Comments
Post a Comment