Diamond Platnumz aivamia Taarabu...


Star wa muziki wa Bongo Flava Diamond Platnumz ambae kwasasa anayo heshima kubwa kwenye Industry ya muziki, kutokana na muziki wake pamoja na kuingia kwenye tuzo za MTV MAMA na BET  leo alikuwa kwenye kipindi cha LEO TENA cha Clouds Fm ameuongelea muziki wa Taarabu ambao anaweza kuuimba pia aliwai kuomba na nafasi Jahazi Morden Taarab ya
kuimba kabla hajawa
Diamond Platnumz....
Hii ni video clip inayomuonesha akiimba muziki wa taarabu....





Comments