Mwanamuziki Chris Brown leo hii ameachiwa huru baada ya kutumikia siku
108 jela badala ya 131 aliyohukumiwa kwa kosa la kushindwa kutimiza
masharti ya kifungo cha nje.
Chris mwanzo alihukumiwa kifungo cha siku 365 May 9 baada ya kukubali
kushindwa kutimiza masharti ya kingo cha nje kwa kujiingiza katika
ugomvi Washington DC mwaka jana, lakini hakimu R. Brandlin alimpunguzia
kifungo baada ya kutumikia siku 234 akiwa rehab na jela.
Hakimu pia amemuamuru Chris kuhudhuria therapy sessions mara mbili kwa
wiki na kupimwa kipimo cha madawa ya kulevya mara tatu kwa wiki


Comments
Post a Comment