Kwa mara ya kwanza tangu alipoanza kupanda mbegu zake kwenye darasa lake
alilolipa jina "Ujamaa Hip Hop Darasa, lililopo Mikocheni Dar, Fid
ameanza kuvuna mazao yake.
Ikiwa ni single ya kwanza tangu alipoanzisha darasa hilo, lenye
kuhudhuriwa zaidi na watoto wa mitaani, Fid ameachia video ya wimbo huo
"Ujamaa" unaojumuisha wasanii kibao kutoka kwenye darasa hilo, location
ikiwa ni darasani kwao mule mule...itazame hapo chini

Comments
Post a Comment