
Tumezoea kuona aina nyingi sana ya maigizo lakini hii sasa ni too much ,ni kawaida sana kumwona mtu akiigiza amelewa,anaumwa hata wakati mwingine anaweza kuigiza amekufa. Lakini kufikia hatua hii ya kuwaona watu wanaigiza kutiana kwa kiwango hiki nadhani ni kuvuka mipaka kwani inaonesha dhahiri kabisa kwamba hapa mdada lazima ameingiziwa dudu kiukweli ukweli jambo linalowaweka wahusika katika wakati mgumu kwa mfano kupata maambukizo ya Ukimwi nk. pia hutoa mafunzo mabaya kwa watoto ambao hutegemea kujifunza mambo mema kutoka katika filamu au maigizo haya
Comments
Post a Comment