Tazama Hapa Tukio La Msanii Huyu Wa Hip Hop Alivyokamatwa Na Misokoto 200 Ya Bangi Akiwa Uwanja Wa Ndege..!!
- Get link
- X
- Other Apps
Alikuwa
akisafiri kutoka El Paso kwenda Dallas wakati maafisa wa uwanja wa
ndege walipokuta mzigo huo ndani ya begi lake ambapo kwa mujibu wa
sheria aliwekwa kizuizini na baadae kufikishwa kituo cha polisi kabla ya
kuachiwa huru saa kadhaa baadae kwa mujibu wa TMZ.
Pamoja
na hayo, yeye mwenyewe Wiz hakuonyesha kujali ambapo baadae alitweet
picha yake akiwa chini ya ulinzi na kuonyesha hiyo ishu haijamsumbua
akili kabisa.
- Get link
- X
- Other Apps
Comments
Post a Comment